Dark
Light

Tanzania - Page 263

Twelve Miners Die in DRC Copper Mine Collapse

Twelve miners tragically lost their lives after a copper mine collapsed in Tulizembe, located in the mineral-rich Katanga Province of the Democratic Republic of Congo. The incident occurred early Saturday morning, trapping workers deep inside the mine and prompting a rapid but
February 10, 2026

Samia kuhutubia African Summit Korea, SGR kipaumbele

Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa,ameeleza ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia kwenye mkutano kati ya serikali ya Korea na wakuu wa nchi za Afrika, (African Summit) kuwa ni uwekezaji mkubwa uliofanywa kwenye miundombinu. Akizungumzia na waandishi
June 1, 2024

NECTA Yaondoa Maswali ya Kuchagua Hisabati

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed, ametangaza kuwa kuanzia mwaka huu hakutakuwa na maswali ya kuchagua katika mitihani ya Hisabati. Hatua hii inalenga kuboresha uelewa na umahiri wa wanafunzi katika somo hilo muhimu. Dkt. Mohamed alitoa taarifa hii
June 1, 2024

EAC Ministers Gather To Discuss Fisheries

The Sixth Ordinary Meeting of the East African Community Sectoral Council on Fisheries and Aquaculture Development in Lake Victoria at the level of Permanent Secretaries has taken place in Arusha. The meeting, chaired by Ms. Daisy Olyel Aciro, who is also the
May 31, 2024

Watoa Huduma za Fedha Waonywa kwa Kuvunja Sheria

Watoa huduma za fedha mkoani Manyara wametakiwa kufuata sheria na taratibu za Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikiwemo kujisajili, kutoza viwango sahihi vya riba na kuwapa nakala za mikataba wakopaji baada ya wao kuelewa mkataba wa makubaliano ya kukopa na kusaini ili
May 30, 2024

Wanafunzi 700 Kusomeshwa Bure Na Serikali

Serikali imesema wanafunzi 700 watakaofaulu vizuri masomo ya sayansi na wakihitaji kusoma vyuo vya hapa nchini, watasomeshwa bure. Aidha, wanafunzi watakaosoma masomo ya sayansi, uhandisi, Tehama, elimu tiba na hisabati hawatakuwa na gharama za kulipia, kwamba serikali itawagharamia kila kitu. Hayo yalisemwa
May 30, 2024

EAC Ministers Convene on Lake Victoria Fisheries

The Sixth Ordinary Meeting of the Council of Ministers for Fisheries and Aquaculture in Lake Victoria of the East African Community (EAC) is currently underway at the Expert Level in Arusha. This preparatory meeting sets the stage for the Ministerial Level discussions
May 30, 2024

Rais Samia Ateua Viongozi Wapya Serikalini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa serikali kwa kuteua viongozi wapya katika nafasi muhimu mbalimbali. Taarifa hii imetolewa Mei 29, 2024, na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, jijini Dodoma. Katika
May 30, 2024
1 261 262 263 264 265 342