Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 253

Makalla Awahakikishia CCM Upele Umepata Mkunaji

Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amewataka Wanachama wa CCM waamini wanae Mwenezi na wasiwe na wasiwasi huku akisema yupo tayari kwa mdahalalo wowote kujibu hoja na kushindana kwa hoja na sio vihoja na
April 5, 2024

“Muziki Umeanza Hii Safu Ni Ujumbe Tosha”-Mongella

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, John Mongella amewataka Wanachama wa CCM wamuamini huku akiwaahidi kuwa atasimamia kuhakikisha utendaji ndani ya Chama hicho na kuipongeza safu ya uongozi iliyoteuliwa hivi karibuni na sekretarieti. Mongella ameyasema hayo leo Aprili 5, 2024 Jijini Dar
April 5, 2024

Denmark Kuwekeza Mitaji Na Teknolojia Sekta Binafsi Tanzania

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameihakikishia Denmark kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na nchi hiyo kupitia Mkakati wake mpya wa ushirikiano wa kimataifa kwa kuishirikisha sekta binafsi katika mipango yake ya maendeleo ili kukuza uchumi na ajira. Dkt.
April 5, 2024

“Every Home to Receive Natural Gas Distribution”-Kapinga

Deputy Minister of Energy Judith Kapinga said, The government, through the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), continues with the implementation of various natural gas distribution projects in the Dar es Salaam region. “So far, the government has distributed natural gas via pipelines
April 5, 2024

Uchumi,Demokrasia Na Utawala Bora Kukuza Nchi

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amesema Tanzania itaendelea kuwekeza fedha kwenye sekta za uzalishaji, kudumisha demokrasia na utawala bora ili kukuza uchumi wa nchi na ustawi wa jamii. Dkt. Nchemba ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka
April 5, 2024

Yanga Imefungua Tawi Lao Afrika Kusini

Klabu ya Young Africans Imefungua Tawi Lake Huko Nchini Pretoria Nchini Afrika Ya Kusini; Nia ikiwa kutanua Zaidi Nembo ya Klabu hio na Kuwaunganisha Mashabiki wake Waliomo Nchini Humo. Akiongea na Wanachama ,Viongozi Pamoja Na Wanahabari, Rais wa Timu hiyo Amesema Timu
April 4, 2024
1 251 252 253 254 255 302