Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 241

Tasnia ya Habari ni Wito na Inahitaji Maadili

David Isack Luninzo, mkongwe wa tasnia ya habari mwenye umri wa miaka 92, ametoa maoni muhimu kuhusu hali ya tasnia ya habari na changamoto zinazokabiliwa nayo. Katika mahojiano, Luninzo amesisitiza kuwa tasnia ya habari ni wito na sio kila mtu anayeweza kuongea
April 29, 2024

Kunani; TFF na Yanga?

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Aprili 12, mwaka huu, lilitoa taarifa kwa umma kupitia mtandao wake wa kijamii, likieleza kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), juu ya kufungiwa kwa Klabu ya Yanga kufanya usajili kutokana na kukiuka
April 29, 2024

Prime Minister Urges End To Stigma Against Autism

Prime Minister Kassim Majaliwa has called for an end to the stigma surrounding autism, urging Tanzanians to support children and individuals living with autism, mental disorders, and intellectual impairments. He also urged parents and guardians with children with mental challenges to seek
April 29, 2024

Samia Atoa Mil.100 Ujenzi Wa Kanisa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni Mia moja kwaajili ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa Jimbo kuu Katoliki Arusha, Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga – Usa River wilayani Arumeru. Akimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,
April 28, 2024
1 239 240 241 242 243 302