Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 237

Vita Ya Mfungaji Bora Ligi Kuu Yapamba Moto.

Ile vita ya Mfungaji wa ligi kuu Soka Tanzania Bara dhidi ya Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba Saidoo Ntibazonkinza na Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele Msimu uliopita, Vita iliomalizika Kwa sare ya Wote kulingana magoli (Goli 17)na Kuzua Tafrani
May 6, 2024

Ratiba Mpya Mabasi Ya Safari Za Usiku Yatangazwa

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema hadi kufikia March, 2024 jumla ya ratiba za mabasi 798 zimetolewa kwa ajili ya safari za usiku akisema hiyo ni ishara kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu
May 6, 2024

Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu Yashika Kasi

Leo hii, Tanzania inashuhudia kuanza rasmi kwa mitihani muhimu ya Kidato cha Sita (ACSEE) na Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada. Hatua hii muhimu inaambatana na matarajio makubwa kutoka kwa wanafunzi, walimu, na wazazi kote nchini. Kulingana na taarifa iliyotolewa na Ofisi
May 6, 2024

Serikali Yadhamiria Kuboresha Huduma za Ukunga

Serikali kupitia Wizara ya afya imedhamiria kuendelea kuboresha huduma za Ukunga sambamba na kuongeza idadi yao ili kupunguza vifo vya watoto wa mchanga. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Mei 5, 2024 kwenye siku ya Mkunga duniani ambapo mgeni
May 5, 2024

Msonde Awataka Walimu Kutumia Nyezo Kuelewesha Wanafunzi

Naibu Karibu Mkuu Wizara ya Tamisemi anaeyeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amewataka walimu kutumia moja ya Kanuni za kuchunguza uwezo wa mwanafunzi na kutumia nyezo zitakazomwezesha mwanafunzi huyo kuelewa vizuri masomo badala ya kuharakisha kumaliza mada (Topics). Dkt. Msonde amesema hayo wakati
May 5, 2024

TANROADS Mzigoni Kutatua Athari za Hidaya Kusini

 Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakandarasi wanaendelea na kazi ya kurejesha miundombinu ya Barabara ya Lindi – Dar- es Salaam ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zikiambatana na kimbunga Hidaya. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi Mha. Emil Zengo ameyasema hayo
May 5, 2024

Director Khalfani Afariki Dunia

Aliyekuwa muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania ‘Director Khalfani Khalmandro‘ amefariki Dunia alfajir ya leo tarehe 5 May 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa zilieleza kuwa Khalfani alilazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, taasisi ya
May 5, 2024
1 235 236 237 238 239 302