Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 221

Asilimia 20 ya samaki Ziwa Victoria wana plastiki

Wakati ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani imeelezwa kuwa asilimia 20 ya samaki Ziwa Victoria wana chembechembe za plastiki kutokana na ongezeko la uchafuzi wa taka hizo ndani ya Ziwa hilo linalohudumia watu zaidi ya milioni 40. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji
June 6, 2024

EWURA Announces Reduction in Fuel Prices

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) has announced a notable reduction in the cap prices of petroleum products in Tanzania, effective from today, Wednesday, June 5, 2024, at 6:01 AM. For the month of June 2024, retail fuel prices in
June 5, 2024

Dunia Inakumbwa na Athari Kali za Matumizi ya Vileo

Dunia inakumbwa na Athari Kali za Matumizi ya Vileo ambayo yanasababisha vifo kwa watu wengi duniani kila mwaka licha ya faida ya kiuchumi kwa mataifa mbalimbali kupitia kodi ya bidhaa hizo. Matumizi ya vileo husababisha matatizo makubwa ya afya na kijamii kwa
June 5, 2024

The World Faces Severe Impacts from Substance Use

The world is grappling with the severe impacts of substance use, which causes numerous deaths annually, despite the economic benefits derived from taxes on these products in various countries. The use of substances leads to significant health and social problems for users,
June 5, 2024

Bashungwa Awataka Vijana Kuacha Maisha ya Anasa

Katika wito wa busara na kujitolea kitaaluma, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amewataka wahandisi vijana kuwa na subira, kujitolea, na kuepuka maisha ya gharama kubwa mara tu wanapopata fursa za ajira. Bashungwa alisisitiza kuwa kushindwa kujizuia na kuishi maisha ya anasa kunaweza
June 5, 2024

Nutrition Remains Government Priority-Ummy

The government, through the Ministry of Health, has announced that the progress in the provision of nutrition education in the country shows promising developments and continues to improve due to the government’s efforts, coupled with the significant response from citizens and stakeholders.
June 5, 2024

Utafiti: Watoto Uswazi Hali Mbaya Kielimu

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na shirika la HakiElimu umebaini kuwa wanafunzi wanaoishi katika makazi duni mijini, maarufu kama ‘uswazi’, wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi kielimu ikilinganishwa na wenzao wa vijijini. Matokeo haya yameonyeshwa katika Ripoti ya Utafiti kuhusu hali ya upatikanaji
June 5, 2024

Pombe Kuwekwa Kwenye Haja Kubwa Kenya

Hali ya maisha na mifumo yake imezidi kustaajabisha watu hususani Nchini kenya baada ya vijana wanaokunywa Pombe Nchini humowakibuni njia mpya ya kuusisimua mwili  Inaelezwa kuwa wimbi kubwa la vijana hao wakiwa na nia ya kutafuta kupata hisia za juu haraka na
June 5, 2024
1 219 220 221 222 223 303