Wananchi Watakiwa Kuweka Akiba Sehemu Salama
Serikali imewataka wananchi kuweka akiba ya fedha zao kwa kuwa akiba ni sehemu mojawapo ya mapato ambayo mwananchi, mfanyabiashara au mjasiriamali anaweza kuhifadhi sehemu salama kwa ajili ya kutimiza malengo aliyojiwekea. Akitoa Elimu kwa Wananchi wa Kijiji cha Muze Wilaya …