Dark
Light

Wizara ya Fedha

Wananchi Watakiwa Kuweka Akiba Sehemu Salama

Serikali imewataka wananchi kuweka akiba ya fedha zao kwa kuwa akiba ni sehemu mojawapo ya mapato ambayo mwananchi, mfanyabiashara au mjasiriamali anaweza kuhifadhi sehemu salama kwa ajili ya kutimiza malengo aliyojiwekea. Akitoa Elimu kwa Wananchi wa Kijiji cha Muze Wilaya ya Sumbawanga
June 9, 2024

Watoa Huduma za Fedha Waonywa kwa Kuvunja Sheria

Watoa huduma za fedha mkoani Manyara wametakiwa kufuata sheria na taratibu za Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikiwemo kujisajili, kutoza viwango sahihi vya riba na kuwapa nakala za mikataba wakopaji baada ya wao kuelewa mkataba wa makubaliano ya kukopa na kusaini ili
May 30, 2024