Serikali Yatoa Wito kuhusu Lishe kwa Mama Wajawazito
Serikali imezitaka taasisi za lishe kushirikiana na sekta ya afya katika kutoa elimu kuhusu lishe kwa mama wajawazito, hatua ambayo inalenga kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alitoa wito huo leo bungeni …