Dark
Light

waziri wa afya

Serikali Yatoa Wito kuhusu Lishe kwa Mama Wajawazito

Serikali imezitaka taasisi za lishe kushirikiana na sekta ya afya katika kutoa elimu kuhusu lishe kwa mama wajawazito, hatua ambayo inalenga kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alitoa wito huo leo bungeni Dodoma alipokuwa
June 24, 2024