Dark
Light

utalii

Hifadhi ya Mpanga Kipengere yagawa Ekari 52,877

Hifadhi ya Mpanga Kipengere imechukua hatua muhimu kwa kugawa ekari 52,877.602 kwa vijiji vinavyoizunguka, ikiwa ni juhudi za kutatua migogoro ya mpaka kwenye eneo hilo. Hatua hii imefanyika baada ya mchakato wa kina ulioongozwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ushirikiano
June 26, 2024

Sofyan Amrabat Apumzika Visiwani Zanzibar

Katika kipindi hiki cha majira ya joto na likizo za wachezaji wa vilabu mbalimbali ulimwenguni, kiungo mkabaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Morocco, Sofyan Amrabat, ameamua kutumia muda wake wa mapumziko visiwani Zanzibar. Amrabat, ambaye ni mmoja wa wachezaji
June 20, 2024