JWTZ Yapokea Heshima Baada ya Zoezi
Kikundi cha maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), pamoja na vyombo vya usalama na taasisi za Serikali, kimerejea nchini baada ya kushiriki kikamilifu katika zoezi la 13 la Medani la nchi wanachama wa Jumuiya …