Ujerumani Yasaini Makubaliano Ya Ahadi Kusaidia Maendeleo Tanzania
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki, Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani, Bw. Marcus Von Essen wamesaini Makubaliano ya ahadi (commitment) ya msaada wa kiasi cha euro …