Nchimbi Akoshwa Ubunifu Wa Wanachuo Wa KM Nyerere
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, Amekoshwa na Bunifu Mbali mbali Za wanachuo Wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Alipo shiriki kama Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi ya …