Unyanyasaji, ubaguzi kikwazo waandishi wa habari wa kike – Twaweza
Mkurugenzi wa utetezi kutoka taasisi ya TWAWEZA Annastazia Rugaba amesema wabahabari wa kike wanapitia changamoto nyingi katika utendaji wao wa kazi wakiwa kwenye vyombo vyao vya habari. Akitoa taarifa ya utafiti huo kwa waandishi wa habari leo Februari 16 jijini …