Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Theresia Ngowi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma Januari 30, 2024. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo Dkt. Alphonce …