Dark
Light

TANROADS

TANROADS Yatangaza Zabuni Madaraja Chakwale, Nguyami

Wakala ya barabara Tanzania (TANROADS) umeanza kutekeleza maagizo ya Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa aliyoyatoa Februari 22, 2024 wakati wa ziara yake ya siku Nne Mkoani Morogoro ya kukagua miundombinu ya Barabara ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Dkt. Samia Suluhu
May 19, 2024

TANROADS Waweka Vioo Mlima Kitonga

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekuja suluhisho la aina mbili katika eneo la Mlima Kitonga ikiwa ni pamoja na upanuzi wa baadhi ya sehemu zenye kona kali na kuweka vioo vya usalama barabarani. Suluhuhisho la kudumu ni kumtumia Mhandisi Mshauri
April 14, 2024