LAAC Imetoa Miezi 3 Ujenzi Kituo Cha Afya Bulela
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Staslaus Mabula ametoa miezi 3 kwa Halmashauri ya Mji wa Geita kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya cha Bulela kilichopo katika Kata ya Bulela mkoani Geita. Hayo …