Kunauhusiano Gani Kati Ya Dabi Na Mvua?
Wahenga walitangulia Kusema, Apigae Mbija Mwishoe Huimba, Naukiona Mawingu Yametanda Angani, Basi Inakaribia Kunyesha. Wahenga Si wendawazimu Kuyasema Haya, Nayathibitisha Kwa ukakamavu Nikiifikiria Kesho (20/04/2024) , Siku ya Derby ya Kariakoo , Mechi Iwakutanishayo Wanasimba Na Yanga Katika Dimba la …