Dark
Light

msiba

Tanzania Yaomboleza Kifo cha Tixon Nzunda

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ameongoza taifa katika kuomboleza kifo cha aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda. Katika hafla iliyogusa nyoyo, Dkt. Mpango alimtaja marehemu Nzunda kama kiongozi mwadilifu na mtumishi wa umma aliyejitolea …
June 19, 2024

ADVERT