Mkandarasi Ahimizwa Ubora Kila Tabaka Barabara ya Mzungumzo Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi, Aisha Amour amemwagiza mkandarasi anayejenga barabara ya mzungumzo jijini Dodoma kufanya kazi kwa mujibu wa mkataba, kutekeleza maagizo anayopewa na viongozi wakati wa ukaguzi wa miradi. Alitoa maagizo hayo leo jijini Dodoma wakati …