Waziri wa Afya aagiza hospitali zote za rufaa kutoa huduma ya kemo
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameagiza Hospital zote za Mikoa za Rufaa nchini kuhakikisha zinatoa Tiba Kemia lengo ni kumpunguzia mgonjwa kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hiyo Jijini Dar es Salaam. Mwalimu alisema hayo leo Jijini Arusha mara baada ya …