Dark
Light

#maujaji #wivuwamapenzi #tanzania

Mke Amuua Mume Kisa Wivu Wa Mapenzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi wa Mtaa wa Katanini Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua mumewe, Ephagro Msele (43) kwa madai ya kumkuta kwa mzazi mwenzake. Kwa mujibu wa watu wa karibu na …
May 26, 2024

ADVERT