Waziri Mkuu Aagiza Ulinzi Maalum kwa Albino
Katika hatua muhimu ya kulinda watu wenye ualbino, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi wa mikoa na wilaya kuanzisha operesheni maalum za usalama katika maeneo yao. Akizungumza Bungeni Majaliwa alisisitiza umuhimu wa serikali za mitaa katika kuhakikisha usalama wa watu …