Uhusiano Uliopo Kati Ya Kutokula kwa wakati, Magonjwa
Wakazi wa eneo la kibiashara Kariakoo wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kutoweza kuzingatia muda sahihi wa kula chakula, na hali hii inaleta matatizo ya kiafya miongoni mwa wafanyabiashara. Wengi wao wanakiri kukosa muda wa kupumzika na kula vizuri kutokana na …