Slaa Awatia Mbaroni Matapeli Ardhi NSSF Yapoteza Mamilioni.
Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, amefanikiwa kufanikisha operesheni ya kuwatia mbaroni watuhumiwa watatu wanaodaiwa kuwa matapeli sugu wa ardhi katika Wilaya ya Temeke. Matapeli hawa wamekuwa wakiendesha biashara haramu ya kuuza maeneo ambayo ni mali ya Mfuko wa Taifa …