Dark
Light

HIDAYA

Kimbunga “HIDAYA” Chakaribia Pwani ya Mtwara

Tarehe 1 Mei 2024, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) iliyotoa taarifa kuhusu uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya Mtwara. Tangu wakati huo, mgandamizo huo umekuwa ukiongezeka nguvu na kujitokeza kama kimbunga kinachojulikana
May 2, 2024