Dark
Light

#hakiElimu #TANZANIA

Hatua Kali Dhidi ya Wazazi Wanaokwamisha Elimu

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere, ametoa agizo kali kwa Jeshi la Polisi mkoani humo kuhakikisha kuwa wazazi na walezi wanaokwamisha masomo ya watoto kwa kuwapeleka kuchunga mifugo wanachukuliwa hatua kali za kisheria. Agizo hili lilitolewa wakati wa …
June 17, 2024

Tume Ya Uchaguzi, Wafungwa Na Wanafunzi Kupiga Kura

Katika juhudi za kuboresha ushiriki wa kila raia katika mchakato wa uchaguzi, Tume ya Uchaguzi imeanzisha mpango mpya wa kuwawezesha wafungwa, wanafunzi waliohukumiwa kifungo cha chini ya miezi sita, na mahabusu kupiga kura. Mkurugenzi wa Uchaguzi, Bw. Ramadhan Kailima, …
June 13, 2024

Enhancing Education Access New Report Launch

The Civil Society Organization, HakiElimu, has unveiled a comprehensive report addressing the availability of quality education for children residing in informal settlements in urban areas. The report aims to enhance education accessibility for this demographic in Tanzania. The research, conducted …
June 10, 2024

Utafiti: Watoto Uswazi Hali Mbaya Kielimu

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na shirika la HakiElimu umebaini kuwa wanafunzi wanaoishi katika makazi duni mijini, maarufu kama ‘uswazi’, wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi kielimu ikilinganishwa na wenzao wa vijijini. Matokeo haya yameonyeshwa katika Ripoti ya Utafiti kuhusu hali …
June 5, 2024

ADVERT