Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Edward Lowassa

Viongozi Wakuu wamuaga Lowassa

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango kwa niaba ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi na Waombolezaji wengine kwenye shughuli za kumuaga Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam leo February
February 13, 2024

Rais Samia Kuongoza Mazishi ya Lowassa February. 17

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli Mkoani Arusha Jumamosi Februari17, 2024. Awali Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza siku tano za
February 12, 2024