Dark
Light

Dk. Shukuru Kawambwa

Walio Sambaza Video ya Waziri Mstafu Matatani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamsaka mtu aliyerekodi video iliyokuwa ikimwonyesha Waziri na Mbunge Mstaafu wa Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa, akidhalilishwa kwa maneno, vitisho, dharau na kutishiwa kufungwa pingu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP)   Pius
April 27, 2024