Dark
Light

Derby ya kariakoo

Kunauhusiano Gani Kati Ya Dabi Na Mvua?

Wahenga walitangulia Kusema, Apigae Mbija Mwishoe Huimba, Naukiona Mawingu Yametanda Angani, Basi Inakaribia Kunyesha. Wahenga Si wendawazimu Kuyasema Haya, Nayathibitisha Kwa ukakamavu Nikiifikiria Kesho (20/04/2024) , Siku ya Derby ya Kariakoo , Mechi Iwakutanishayo Wanasimba Na Yanga Katika Dimba la Benjamin Mkapa
April 19, 2024

Proffesa Zouzoua Kucheza Dabi ,Swala La Muda Tu

ZIKIWA siku mbili kabla ya mechi ya ‘Derby’ ya Kariakoo, Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua, ameanza mazoezi ya ushindani na wachezaji wenzake baada ya kukaa nje ya uwanja kwa siku 29 akiuguza jeraha la nyama za paja. Yanga itaikaribisha Simba kwenye
April 18, 2024