Dark
Light

Benk ya ushirika

“Serikali Kuanzisha Benki Ya Ushirika”-Majaliwa

Waziri  Mkuu Kasim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na uratibu wa uanzishaji wa Benki ya Taifa ya Ushirika na tayari sh. bilioni 15.7 zimekusanywa kutoka kwa wanahisa. Amesema kiasi hicho ni sawa na asilimia 78.5 ya mtaji wa sh. bilioni 20 zinazohitajika na
April 17, 2024