Breaking News
Breaking News
Dark
Light

#ALBINO #HAKIZABINADAAM #UKATILIWAIJNISA

Polisi Waomba Ushirikiano Kuwalinda Watu Wenye Ualbino

Katika juhudi za kuimarisha usalama na kulinda haki za binadamu, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Fabian Mhagale amewataka wananchi wa Kata ya Mvungwe, Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Mhagale alisisitiza umuhimu
June 25, 2024

DC Pangani Aongoza Vita Dhidi Ukatili

Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Mussa Kilakala, ameanza kampeni kali dhidi ya vitendo vya ubakaji na ulawiti, akisisitiza kuwa watu wanaojihusisha na makosa haya watachukuliwa hatua kali za kisheria. Kilakala ameagiza Jeshi la Polisi kumkamata mtu mmoja katika kijiji cha Bushiri, anayeshtumiwa
June 25, 2024

Kifo Cha Mtoto Mwenye Ualbino Chazua Taharuki

Katika kikao cha Bunge, Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha kundi la watu wenye ulemavu, Khadija Taya (Keisha), alitoa ombi la dharura kwa Spika ili kujadili kifo cha kusikitisha cha mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath. Novath alitekwa nyara na watu wasiojulikana na kupatikana
June 18, 2024

Ukatili Dhidi Ya Albino walaaniwa Vikali

Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu, Maduhu William, amekemea ukatili dhidi ya watu wenye u albino na kutaka jeshi la polisi likomeshe matukio hayo. Amesema hayo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la kutekwa mtoto
June 6, 2024