Dark
Light

Tanzania

Latest

Simba Kamiligado, Yaenda Kujifua Zanzibar

April 16, 2024
Klabu ya Wekundu Wa Msimbazi Simba Imeenda Visiwa Vya Karafuu Huko Zanzibar Kwaajili Ya Kujiandaa Na Mchezo Wa Dabi Dhidi Ya Watani Wao Wa Jadi Young Africans Utakaopigwa April 20/04/2024 Pale Uwanja Wa Benjamin Mkapa Pamoja na Mechi Nyingine Za Ligi Zilizo

TAMISEMI Yaomba Bunge Kuidhinisha Shilingi Tril.10.125

April 16, 2024
Ofisi ya Rais – TAMISEMI,  imeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125 kwa taasisi zilizo chini yake, mikoa 26 ikijumuisha halmashauri 184. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya trilioni

Finland To Launch A Tsh55Bn Forestry Program.

April 16, 2024
The Finnish government is preparing to launch a new four-year program to promote sustainable forestry in the country, as part of the bilateral development cooperation between the two nations. In an exclusive interview with The ‘Daily News’, Finnish Ambassador to Tanzania, Ms.

Ripoti Ya CAG, Upigaji Bado Upo

April 16, 2024
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, imeonesha kuwa ununuzi na usimamizi wa mikataba katika mamlaka 35 za serikali za mitaa wa jumla ya Sh. bilioni 4.22 ulifanyika bila kuitisha nukuu za ushindanishi wa bei. Aidha, mamlaka 16 za serikali

Wivu Kupindukia ,Sababu Ugonjwa Wa Akili

April 15, 2024
Daktari Wa Magonjwa ya Akili Kutoka Hospitali Ya Rufaa,Mkoa Mwananyamala, Dkt Jovina Josephat amesema moja ya viashiria vya Mtu Kusumbuliwa na Ugonjwa Wa Akili ni Wivu Ulio Pitiliza Ambao Umekuwa Changamoto Kubwa Hasa Kwa Watu Waliopo Kwenye Mahusiano au Wanandoa. Dkt. Jovina
1 591 592 593 594 595 710