Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Msafara Wa Makonda Wapata Ajali Masasi Mtwara

Msafara wa Katibu wa NEC itikadi uenezi na mafunzo wa CCM Paul Makonda umepata ajali katika eneo la Masasi mkoani Mtwara ukihusisha magari zaidi ya 10.
February 11, 2024
by

Msafara wa Katibu wa NEC itikadi uenezi na mafunzo wa CCM Paul Makonda umepata ajali katika eneo la Masasi mkoani Mtwara ukihusisha magari zaidi ya 10.

Ajali hiyo iliyotokea saa 9 alasiri imehusisha zaidi ya magari 13 yaliyokuwepo katika msafara wa muenezi Makonda uliokuwa unatoka mkoani Ruvuma kuelekea jijini Dar es salaam.

Taarifa zilizothibitishwa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa watu wasiopungua 7 wamejeruhiwa na kukimbizwa katika hospital ya Mkoa wa Mtwara na huku kukiwa hakuna kifo chochote

Hata hivyo Makonda yuko salama.

Author

4 Comments

  1. I’m still learning from you, but I’m making my way to the top as well. I definitely liked reading everything that is posted on your blog.Keep the stories coming. I liked it!

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss

Pilot Collapses Mid-Flight, Emergency Landing Made

A flight from Hurghada, Egypt, to Manchester, UK, was forced

Vice President Urges Technology Innovation for Youth

The Vice President of the United Republic of Tanzania, Dr.