Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 248

Wivu Kupindukia ,Sababu Ugonjwa Wa Akili

Daktari Wa Magonjwa ya Akili Kutoka Hospitali Ya Rufaa,Mkoa Mwananyamala, Dkt Jovina Josephat amesema moja ya viashiria vya Mtu Kusumbuliwa na Ugonjwa Wa Akili ni Wivu Ulio Pitiliza Ambao Umekuwa Changamoto Kubwa Hasa Kwa Watu Waliopo Kwenye Mahusiano au Wanandoa. Dkt. Jovina
April 15, 2024

Rais Samia Atoa Fedha Za Dharura Wizara Ya Ujenzi

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuipatia Wizara ya Ujenzi fedha za dharura ili kusaidia kufanya ukarabati kwenye maeneo ambayo mawasiliano ya barabara yamekatika kutokana na mvua za
April 15, 2024

CCM Lobbies For Release of 400m For Water Project

The ruling party-Chama Cha Mapinduzi (CCM)’s Secretary General, Ambassador Emmanuel Nchimbi working tour in Nkasi District has fast tracked the release of 400m/- that was derailing the completion of a grand water project seeking to end water woes in the area. At
April 15, 2024

Government Allocates 400m- To Nachingwea Wildlife Victims

 Ministry of Natural Resources and Tourism provided over 399m/- last year to console 1,658 citizens affected by destructive wildlife in Nachingwea District, Lindi Region. Nachingwea District Commissioner, Mohamed Hassan Moyo, shared details in a recent press meeting about Tanzania Wildlife Management Authority
April 15, 2024

DK.Mwinyi Asisitiza Kudumisha Muungano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano, kuuendeleza, kuudumisha na kuimarisha zaidi ili kuzidi kunufaika kwa dhamira ile ile ya Waasisi wa Taifa letu. Rais Dk.Mwinyi ameeleza kuwa umoja wa Watanzania unazidi
April 14, 2024

Uingereza Yamfungia Kwa Muda Bondia Dullah Mbabe

Bodi ya kusimamia ngumi za kulipwa nchini Uingereza imemfungia bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ kuzichapa kwa muda nchini humo. Read More: Msanii Harmonize Na Bondia Mwakinyo Wajipanga Kuzichapa https://mediawireexpress.co.tz/msanii-harmonize-na-bondia-mwakinyo-wajipanga-kuzichapa/ Uamuzi wa bodi hiyo umekuja siku chache baada ya bondia huyo namba tatu nchini
April 14, 2024

UN Warns Of Hunger For 55m In West, Central Africa

 Soaring prices have helped fuel a food crisis in West and Central Africa, where nearly 55 million people will struggle to feed themselves in the coming months, UN humanitarian agencies warned on Friday. During the June-August lean season, the number of people experiencing
April 14, 2024

TANROADS Waweka Vioo Mlima Kitonga

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekuja suluhisho la aina mbili katika eneo la Mlima Kitonga ikiwa ni pamoja na upanuzi wa baadhi ya sehemu zenye kona kali na kuweka vioo vya usalama barabarani. Suluhuhisho la kudumu ni kumtumia Mhandisi Mshauri
April 14, 2024
1 246 247 248 249 250 302