Breaking News
Breaking News
Dark
Light

editor

Rais Samia Kuongoza Mazishi ya Lowassa February. 17

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli Mkoani Arusha Jumamosi Februari17, 2024. Awali Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza siku tano za
February 12, 2024

Waziri Mkuu Aagiza uvunwaji maji ya Mvua

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maji iongeze kasi katika uwekezaji kwenye ujenzi wa miundombinu ya kuvuna maji ya mvua pamoja na kujengeni mabwawa ya kukinga maji ili yatumike wakati wa kiangazi, kwenye ukame na kuzuia mafuriko.  Pia, Mheshimiwa Majaliwa amewaagiza
February 12, 2024

Tanzania Hosts 1st Regional Summit of employers

A total of 38-out of 50 countries are currently in Tanzania to participate in the  7th African Social Partners Summit currently underway at the Julius Nyerere International Centre. The  two-day summit will focus on social issues , job creation,  law labor issues
February 7, 2024
1 97 98 99 100 101 117