Breaking News
Breaking News
Dark
Light

editor

Kamata Wote Wanaochezesha Wanafunzi Ngoma – DC Magoti

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amepiga marufuku Watu kuandaa shughuli za ngoma kama vile mdundiko, unyago na sherehe za muziki na kuruhusu Wanafunzi kujumuika na kuserebuka kwenye shughuli hizo ambapo amemuagiza Mkuu wa Polisi Wilaya vitendo hivyo vitabainika akamate kuanzia
June 25, 2024

Geita Yashinda Ubingwa wa UMISSETA Dhidi ya Tabora

Katika fainali ya kusisimua ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) iliyofanyika mjini Tabora, timu ya mpira wa miguu ya wavulana kutoka Geita imetwaa ubingwa kwa kuifunga timu ya Tabora magoli mawili kwa moja. Mashindano haya ambayo yalihusisha timu kutoka mikoa
June 25, 2024

Tanzania’s Health Vision: Stronger Future Assured

Ministry of Health Secretary Dr . John  Jingu at a seminar held in  Dodoma City. reaffirmed the critical role of his ministry in shaping Tanzania ‘healthcare landscape for the upcoming fiscal year 2024/25 The seminar, attended by senior ministry officials, focused on
June 25, 2024

DC Pangani Aongoza Vita Dhidi Ukatili

Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Mussa Kilakala, ameanza kampeni kali dhidi ya vitendo vya ubakaji na ulawiti, akisisitiza kuwa watu wanaojihusisha na makosa haya watachukuliwa hatua kali za kisheria. Kilakala ameagiza Jeshi la Polisi kumkamata mtu mmoja katika kijiji cha Bushiri, anayeshtumiwa
June 25, 2024

Ronaldo Asifiwa kwa Uchezaji Usio wa Ubinafsi na Martinez

Katika mechi ya hivi karibuni dhidi ya Uturuki, Cristiano Ronaldo alifanya uamuzi wa kushangaza ambao umewavutia wapenzi wa soka na wataalamu kote duniani. Alipokuwa na nafasi nzuri ya kufunga goli, Ronaldo aliamua kumpasia mchezaji mwenzake Bruno Fernandes, ambaye alifunga kwa urahisi. Tukio
June 24, 2024

JWTZ Yapokea Heshima Baada ya Zoezi

Kikundi cha maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), pamoja na vyombo vya usalama na taasisi za Serikali, kimerejea nchini baada ya kushiriki kikamilifu katika zoezi la 13 la Medani la nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
June 24, 2024

Serikali Yatoa Wito kuhusu Lishe kwa Mama Wajawazito

Serikali imezitaka taasisi za lishe kushirikiana na sekta ya afya katika kutoa elimu kuhusu lishe kwa mama wajawazito, hatua ambayo inalenga kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alitoa wito huo leo bungeni Dodoma alipokuwa
June 24, 2024
1 36 37 38 39 40 87