Dark
Light

Wizara ya Ujenzi

Mawasiliano ya Barabara Chanika Yarejeshwa

Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS), inaendelea na urejeshaji wa miundombinu ya barabara na madaraja ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha na kuleta athari katika baadhi ya maeneo Mkoani Dar es Salaam ikiwemo barabara ya Chanika – Ukonga. Akizungumza kwa
April 28, 2024