Waziri Ndumbaro: Wasanii Kurasimisha Kazi Zao
Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewahimiza na kuwasisitiza wasanii kurasimisha kazi zao ili kurahisisha mipango ya serikali ya kutoa fursa mbalimbali, kwani sanaa ni chanzo cha mapato. Mhe. Ndumbaro alitoa kauli hizo Juni 14, 2024, …