Vijana Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mbadala
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta mbalimbali ikiwepo ya Madini kama ajira mbadala na namna ya kujikwamua kiuchumi wao binafsi na familia zao sambamba na kuongeza mchango wao katika maendeleo ya …