Breaking News
Breaking News
Dark
Light

UKIMWI

Tanzania Yapongezwa kwa Mikakati Endelevu Kudhibiti UKIMWI

Katika kikao kilichofanyika Geneva, Uswisi, Tanzania imeipongezwa kwa kuwa na mikakati endelevu na ya kudumisha mifumo ya afya pamoja na mwitikio wa kudhibiti VVU/UKIMWI ili kufikia malengo ya kitaifa na kimataifa ifikapo mwaka 2030. Hii inaonyesha kuwa nchi hiyo inachukua jukumu muhimu
May 28, 2024