Dark
Light

teuzi

Rais Samia Ateua Viongozi Wapya Serikalini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa serikali kwa kuteua viongozi wapya katika nafasi muhimu mbalimbali. Taarifa hii imetolewa Mei 29, 2024, na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, jijini Dodoma. Katika
May 30, 2024