Ndege ya Makamu wa Rais wa Malawi Yapatikana
Mabaki ya ndege iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Chilima, pamoja na abiria wengine tisa, yamepatikana bila mtu yeyote aliyenusurika, Rais Lazarus Chakwera ametangaza. Ndege hiyo ilipotea kwenye rada za uwanja wa ndege Jumatatu asubuhi, ikiwa safarini ndani ya …