Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Saulos Chilima

Ndege ya Makamu wa Rais wa Malawi Yapatikana

Mabaki ya ndege iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Chilima, pamoja na abiria wengine tisa, yamepatikana bila mtu yeyote aliyenusurika, Rais Lazarus Chakwera ametangaza. Ndege hiyo ilipotea kwenye rada za uwanja wa ndege Jumatatu asubuhi, ikiwa safarini ndani ya nchi. Wanajeshi
June 11, 2024