Sativa Alazwa Aga Khan kwa Matibabu Zaidi
Edgar Mwakabela, maarufu kama Sativa, aliyeripotiwa kupotea tarehe 23 Juni 2024, amepatikana mkoani Katavi na kupelekwa Dar es Salaam kwa matibabu zaidi katika Hospitali ya Aga Khan. Hali yake ilihitaji matibabu ya haraka kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata baada …