Rais Mwinyi akutana na Naibu Kamishna Wa Haki za Binadamu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu, Nadal Al-Nashif na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 9 Machi 2024. Aidha Rais Dk.Mwinyi amesema Zanzibar kuimairisha ushirikiano katika …