Wauguzi, Wakunga Wabeba Asilimia 60 Watumishi Sekta ya Afya
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema asilimia 60 ya watumishi katika sekta ya afya nchini wanatoka kada za uuguzi na ukunga hivyo kuchangia ubora wa huduma zinazotolewa katika Hospitali na Vituo vya kutolea huduma za afya. Dkt. Mollel …