Breaking News
Breaking News
Dark
Light

#mbappe #madrid #PSG

Kylian Mbappé Presented As Real Madrid Player

Real Madrid has introduced striker Kylian Mbappé as their new player who joins the club on a free transfer from Paris Saint-Germain. Mbappé will wear jersey number 9 at the club, following in the footsteps of greats like Ronaldo Luis Nazário de
July 16, 2024

Mbappe “Ndoto Yangu Imetimia”

Mshambulizi wa kimataifa wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema ni “ndoto yangu kutimia” huku uhamisho wake wa kuelekea Real Madrid ukithibitishwa Jumatatu jioni. Mbappe, 25, atahamia Uwanja wa Bernabeu kwa mkataba wa miaka mitano mkataba wake wa Paris St-Germain utakapokamilika tarehe 30 Juni.
June 4, 2024

Mbappe Na Madrid Mambo BulBul

Uhamisho wa mchezaji wa timu ya PSG ya Nchini Ufaransa Kuelekea Real Madrid ya nchini uhispania limekamilika na muda wowote kuanzia sasa mchezaji huyo nyota wa kutoka nchini ufaransa atatangazwa kama mchezaji mpya wa miamba hiyo kutoka uhispania. Tetesi zinaeleza yakuwa mchezaji
June 3, 2024