Dark
Light

Mahakama

Nini Kifanyike Kupunguza Wafungwa Magerezani?

Mjadala kuhusu mlundikano wa wafungwa mahabusu umekuwa ukizua tafsiri tofauti miongoni mwa watanzania wengi Hali hii imewafanya baadhi ya wakaazi wa Dar es salaam kutoa maoni yao na kutoa mapendekezo ya hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kupunguza idadi ya wafungwa magerezani. Media wire
April 22, 2024

Kiongozi wa upinzani Zimbabwe Jela miezi sita

Mahakama nchini Zimbabwe imemhukumu kiongozi wa upinzani, Tendai Biti kifungo cha miezi sita jela au faini ya Dola 300 kwa kumshambulia kwa maneno mfanyabiashara wa Urusi. Hakimu Vongai Guwuriro aliamua kwamba Tendai Biti, waziri wa zamani wa fedha wa Zimbabwe, lazima alipe
February 29, 2024