Dkt. Mwinyi Azindua Rasmi Uchimbaji Mafuta na Gesi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru ya kwanza . Rais Dk.Mwinyi amewakikishia wawekezaji wote wa sekta ya …